SUGU KUJA NA NAMBA YA JELA

0

Mbunge wa Mbeya mjini nchini Tanzania Joseph Mbilinyi  (Sugu) ambaye pia ni msanii nguli na mkongwe kwenye game ya Hip Hop ya Tanzania, anatarajia kuachia kazi yake mpya hivi karibuni.

Sugu ameipa kazi yake mpya jina la namba yake alipokua jela , 219.

Sugu anaachia wimbo huo ikiwa hajamaliza mwezi tangu alipotoka gerezani kupitia msamaha wa rais John Magufuli, Mei 10, 2018.

Sugu ameeleza kuwa wimbo huo utabeba mambo mbali mbali aliyokutana nayo akiwa jela kama mfungwa.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar