STUDIO YA RAYVANNY YAKAMILIKA

0

Msanii Rayvanny ambaye ako chini ya usimamizi wa studio na record label ya WCB Wasafi nchini Tanzania amekamilisha ujenzi wa studio yake mpya.

Kulingana na taarifa jijini Dar Es Salaam, studio hiyo imekamilika na wasanii kama Dogo Janja na Madee wameonekana wakijiachia ndani ya studio hiyo.

Miezi miwili iliyopita boss wa WCB, Diamond Platnumz alifichua kuwa msani wake Rayvanny anatarajia kufungua studio yake binafsi.

Prodyuza mmoja kwa jina Rash Don ndiye anasemekana atahusika katika usimamizi wa studio hiyo.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

RICH MAVOKO ATAKA KUJIUA?

Msanii Rich Mavoko kutoka nchini Tanzania amezua hofu mitandaoni baada ya kutuma ujumbe unaoashiria anataka kujitoa uhai. Kupitia akaunti yake ya instagram, Rich Mavoko ametuma ...
Skip to toolbar