SONY RECORDS YASAJILI MSANII MWENYE UMRI WA MIAKA 13

0

Lebo kubwa ya muziki ulimwenguni Epic/Sony Records imeshangaza wengi baada ya kusajili rapa mmoja kwa jina Luis Rivera Jr Aka Lil Poopy mwenye umri wa miaka 13.

Lil Poopy alikuwa msanii wa French Montana kwenye kundi lake la Coke Boys na amewahi kutoa mixtape album moja akiwa single artist iliyopewa jina “Coke Aint A Bad Word“.

lil poppy2

Album hii ilileta matatizo kwenye familia ya Lil Poopy baada ya baba yake mzazi kuchunguzwa na polisi kufuatia hatua ya mtoto wake mwenye miaka 13 kuimba kuhusu Wanawake, dawa za kulevya ,ngono na magari ya thamani.

lil poppy

Msanii huyu anafananishwa na wasanii kama Bow wow, Lil Romeo na Taylor Swift walioanza muziki wakiwa wadogo.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar