SNURA AELEZA KWA NINI ALIM’KISS RAYMOND

0

Msanii wa muziki wa bongo fleva na filamu nchini TZ Snura Mushi amefunguka na kusema kuwa yeye hana tabia ya kutoka kimapenzi na watoto wadogo kama baadhi ya wasanii wengine wa kike au watu maarufu wanavyofanya.

Snura ameeleza kua alilazimika kumbusu Raymond wakati anatengeneza video ya wimbo wake ‘Natafuta kiki’ kwani pale alikuwa kazini na wala sio kuwa anatoka kimapenzi na msanii huyo kama ambavyo baadhi ya watu walivyoanza kuzusha.

images-6

“Nili mkiss pale nilikuwa kazini, kazini naweza kum kiss hata mtoto wangu kama ‘movie’ nayoicheza inaniambia nitembee na mwanangu nitaacha kum kiss? Kwa hiyo pale nilikuwa kazini katika maisha ya kawaida kabisa Raymond mimi ni mdogo wangu, mimi kusema za ukweli huwaga sina tabia za kutoka kimapenzi na wadogo zangu’ alisema Snura.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar