SILAZIMA LABEL KUTOBOA KIMZIKI – RAY VANNY

0

Msanii kutoka label ya WCB, Raymond Shaban Mwakyusa aka Ray Vanny anasema si lazima msanii kusimamiwa na label kubwa kufanikiwa.

Ray Vanny anasema kufanikiwa kimziki kunahitaji kipaji na juhudi

Ray Vanny ambaye anafanya vizuri na wimbo, “Siri” aliomshirikisha Nikki wa Pili, anadai anaweza kufanya vizuri hata akiwa nje ya label yake.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

TID AWASUTA WASANII WENZA

Mkongwe wa BongoFleva Khalid Mohamed maarufu kwa jina la TID amewasuta wasanii wenza katika tasnia ya mziki wa kizazi kipya kwa kutumia ndoa kutengeneza kiki ...
Skip to toolbar