SIJAWAHI KUVAA VISURUALI VYA KUBANA – MWANA FA

0

Mkongwe kwenye Muziki wa Bongo Fleva, Hamisi Mwinjuma, ‘MwanaFA’ anasema, katika maisha yake ya kisanii, hajawahi kuvaa suruali za kubana licha ya mtindo huu kuteka wasanii wengi  pamoja na ulimwengu wa fashion kwa sasa.

Mwana FA ametaja tamaduni za muziki wa Hip Hop kama zinazomfanya kushindwa kuvaa suruali za kubana huku akieleza kuwa nguo za watu wa Hip Hop ni suruali pana na tisheti kubwa.

Mwana FA aidha amedai  anapovaa suruali za kubana hushindwa kuhema..

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

H_ART THE BAND WANUSURIKA KIFO

Kundi la wasanii wa kiume la H_Art the Band waliouvuma na kibao chao uliza kiatuwamehusika katika ajali. Kulingana na taarifa, Mordecai Kimeu, Wachira Gatama na ...
Skip to toolbar