SIHITAJI KIKI ZA KOLABO

0

Rapa Godzilla a.k.a King Zilla amesema hataki kolabo na mtu yoyote na taarifa ziwafikie kuwa kwa sasa anakuja na album mpya.

Godzilla amefunguka na kusema kuwa ana uwezo wa kufanya kazi zake mwenyewe bila msaada wa msanii mwingine,

“Kwanini nipate usumbufu wa kumtafuta mtu wakati naweza kufanya kila kitu mwenyewe, hata chorus”. alisema King Zilla

hqdefault

Hii ni mara ya pili Godzilla anatoa shombo kuwa hahitaji kubebwa na mtu yoyote ili kumng’arisha kwenye game na kuwa ana plan ya kurudi “on top of the game”, plan ambayo itaonekana zaidi kupitia album yake inayokuja soon.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

RUBY ADAIWA KUWA NA KIBURI

Msanii mwenye sauti ya ninga kutoka nchini Tanzania Ruby anadaiwa kuwa na kiburi. Madai haya yametolewa na msanii mwenzake katika kundi la THT kwa jina ...
Skip to toolbar