SHINEY ASHAURI WASANII CHIPKIZI

0

Msanii wa kike kutoka kanda ya pwani Shiney Anne ambaye alikua amenyamaza kimziki kwa mda mrefu, amerudi katika game na kishindo.

Baada ya kuachilia kibao chake kipya kwa jna “Amani Kenya”, Shiney amechukua fursa ya ujio wake mpya kutoa ushauri kwa wasanii wengine wachanga, wenye ndoto ya kufanikiwa kimziki katika tasnia ya mziki kanda ya pwani.

Shiney amesistiza umuhimu wa heshima katika na kujituma katika tasnia ya mziki wa kizazi kipya

INSERT:SHINEY – UJUMBE

Shiney kwa sasa ameekza juhudi zaidi katika kuusambaza wimbo wake wa “Amani Kenya” akiutaja kama ngazi yakurdi katika game, kwani tayari zipo kazi zengine nzuri alizozitayarishia mashabiki wake.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

AUDIO || PAT C & SHA BIGGY – NAUNEWE

<<DOWNLOAD/LISTEN NEW AUDIO HIT> ARTIST : Pat C & Shaa Biggy – Naunewe: Kujipakulia nyimbo mpya za wasanii wengine kutoka kanda ya pwani.Tembelea HULKSHARE: Teddy Mwanamgambo ...
Skip to toolbar