SHETTA ATAKA HILI KUTOKA KENYA SASA.

0

Msanii wa Bongo Flavaz Shetta ameweka wazi kuwa anatafta mpenzi mwenye asili ya Kenya.

Shetta ambaye tayari ana mke nchini kwao Tanzania, ameweka wazi kuwa angependa kuoa zaidi ya mke mmoja na anataka kati ya wake zake mmoja awe mkenya.

Shetta anasema ameamua hili kwa sasabu dini yake ya kiislamu inamruhusukuwa na wake zaidi ya mmoja.

Kwa sasa Shetta yupo jijini Nairobi kupiga promo wimbo mpya aloshirikishwa na Otile Brown kwa jina ‘Tamu Sana’

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar