SHETTA AINGIZA HELA BILA MZIKI.

0

Msanii wa Bongo Flavaz Shetta anadai anaingiza hela katika maisha yake licha ya kuwa kimya kwenye game ya mziki.

Shetta anasema anaingiza pesa nyingi kutokana na biashara ndogo ndogo anazofanya nje ya mziki.

Msanii huyu anadai yeye ni miongoni mwa wanabiashara ya vibanda vya chips vingi, vinavyomuingizia takriban elfu 40 pesa za Kenya kila siku.

Shetta licha ya kufanya biashara za vibanda vya chipsi pia anahusika na usimamizi wa wasanii wenzake wakiwemo The Mafik Band.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

AUDIO || SPIZZO – DATA

<<DOWNLOAD/LISTEN NEW AUDIO HIT> ARTIST : Spizzo – Data: Kujipakulia nyimbo mpya za wasanii wengine kutoka kanda ya pwani.Tembelea HULKSHARE: Teddy Mwanamgambo HEARTHIS: Teddy Mwanamgambo  JIUNGE NAMI ...
Skip to toolbar