SHEEBAH KARUNGI ATIMIZA HILI KATIKA SAFARI YAKE YA MZIKI.

0

Msanii wa kike nchini Uganda Sheebah Karungi maaarufu Queen Shebah ameandikisha historia nchini Uganda kwa kuwa msanii wa kwanza wa kike ambaye nyimbo zake zinapakuliwa kwa wingi zaidi mitandaoni.

Kulingana na takwimu zilizotolewa na kampuni inayoshughulikia nyimbo za wasanii katika mfumo wa digitali, Mdundo Uganda, Sheebah ndio msanii wa kike Uganda ambaye nyimbo zake zimekua’ downloaded kwa wingi zaidi mwaka wa 2017.

Akizungumzia mafanikio haya, Sheebah amewashukuru mashabiki wake nchini Uganda kwa ushirikiano na upendo wanao mpa kwa sasa.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar