SHABIKI WA RADIO ANASWA NA POLISI BAADA YA KUKIRI HEWANI JINSI ALIVYOUA

0

Shabiki mmoja wa radio jijini Nairobi amenaswa na polisi baada ya kukiri live hewani jinsi alivyomuua mwanamke mwengine, aliyemshuku kutoka kimapenzina mumewe.

Katika tukio la kushangaza, mwanamke huyo kwa jina Linda Namukuchu Urandu alipiga simu katika kipindi cha asubuhi cha kituo kimoja cha radio jijini Nairobi na kueleza hatua kwa hatua na kwa kina, jinsi alivyopanga na kutekeleza maujaji ya Bi. mdada husika, katika chumba kimoja cha hoteli miaka sita iliyopita.

Baada ya simu hiyo ambayo ilipigwa juzi jumanne ya tarehe 6, polisi walifanikiwa kumfuatilia na kumnasa Linda Namukuchu Urandu siku ya Alhamisi ya jana ya tarehe 8, katika mtaa wa Kasarani Estate jijini Nairobi

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

DRAKE AMFANYA HIVI RIHANNA.

Mbali performance nzuri aliyofanya Rihanna wakati wa utoaji wa tuzo za Billboard Music Awards 2016, issue nyengine inayotrend kwa sasa kumhusu mrembo huyu ni pete ...
Skip to toolbar