SEAN PAUL APATA MCHONGO MPYA.

0

Staa wa muziki wa Dance Hall ulimwenguni Sean Paul amepata label mpya itakayomsimamia kazi zake.

Sean Paul, ambaye ni raia wa Jamaica amepata dili la kurekodi na label ya Island Records baada ya kufanya kazi akiwa msanii huru bila label kwa kipindi cha miaka miwili.

Kabla ya kujiunga na Island Records, Sean Paul alikuwa chini ya Atlantic Records kwa miaka 10.

kwa sasa Paul anatayarisha album yake mpya na amefichua kuwa atawashirikisha wasanii kama vile Shakira, David Guetta na Afrojack.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar