SABABU 10 KWA NINI UJENGE UTAMADUNI WA KUSOMA VITABU

0

Je mara ya mwisho kusoma kitabu chochote ilikua lini? Ama kwa sasa/siku za hivi karibuni labda umekua ukisoma kitabu gani …?
Hapa nimekuandalia sababu 10 kwa nini ujenge utamaduni wa kusoma angalau kitabu kimoja kila mwezi.

woman-reading-book-web
I. Hukuonyesha uhasili wa ubinadamu

2. Humpa mtu mbinu za kutatua matatizo yake

3. Husaidia kutengeneza maono ya unachotaka kufanya

4. Huboresha lugha na kukuongezea misamiati

5. Hupunguza mawazo

6. Hukupa uwezo wa kusaidia watu na uvumilivu wa mambo

7. Usomaji huongeza kujiamini

8. Msomaji huona uhusiano kati ya kisababishi na matokeo yake

9. Msomaji hujua umuhimu wa kuwa mwenyewe kwa muda fulani

10. Msomaji ni mtu anayevutia sana.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

RIHANNA AMUANIKA MPENZIWE MPYA

Baada ya kuendesha penzi la kujifichaficha kwa muda mrefu sasa, mrembo Rihanna ameamua kuweka mambo hadharani. Hii ni baada ya kunaswa akiponda raha na mpenzi ...
Skip to toolbar