RUBY AKIRI HILI KUHUSU MAISHA YAKE YA SASA.

0

Mwanamziki wa kike nchini Tanzania kwa jina Ruby amekiri kwamba ni mjaa uzito kwa sasa.

Ruby ambaye anasifika katika tasnia ya Bongo Flavaz kutokana na uwezo wake wa kuimba, anasema hali yake kwa sasa ni mojawapo ya sababu kuu zinazomfanya kusalia kimya kimziki katika siku za hivi karibuni.

Hata hivyo Ruby amekataa kata kata kumfichua mwanamume mhusika wa mimba yake huku akipinga tetetsi kwamba ni ya mwanamziki mwenye jina kubwa katika tasnia ya Bongo Flavaz.

“Mimba bado ni changa, siwezi kusema ina miezi mingapi. Kuhusu nimepewa na mwanamuziki mkubwa, siyo kweli ila ipo siku wakati ukifika nitasema ni ya nani,” amesema Ruby

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar