RUBY AELEZA KINACHOMVUTIA KWA JUX

0

Msanii wa kike katika tasnia ya Bongo Flavaz nchini Tanzania, Ruby amefunguka kuhusu kitu kinachomvutia zaidi katika mtindo wa uimbaji wa msanii Jux.

Ruby anasema nyimbo za Jux huvutia sana mashabiki wa kike mbali na mtindo wake wa RnB kuwezeka kuimbwa na jinsia zote mbili ya kike na ya kiume.

JUX

Ruby amefichua kuwa karibuni alipendezwa zaidi na wimbo wa Jux kwa jina “Utaniua”.

Ruby kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wake mpya ‘One and Only’ aliyoshirikishwa na Nedy Music.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar