ROSE MUHANDO AZUNGUMZIA HALI YA AFYA YAKE

0

Msanii wa nyimbo za injili nchini Tanzania amelazimika kuzungumzia hali yake ya kiafya, baada ya picha inayomienyesha akiwa amedhoofika kusambaa mitandaoni.

Picha hiyo inamuonyesha Rose muhando akiwa amesimama madhabahuni lakini ana alama za makovu miguuni mwake, bandage mkononi huku akiwa amekonda kupita kiasi.

Rose Muhando amefichua kuwa picha hiyo ni ya wiki mbili zilizopita na makovu miguuni mwake ni na bendeji mkononi ni majeraha ya ajali ya barabarni aliyohusika miezi 3 iliyopita.

Msanii huyu amefichua kwa sasa naendelea kuuguza majeraha hayo ambayopia yanahusisha maumivu ya mgongo .

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

REDSAN AMPIGA PRODUCER SAPPY NA KUMJERUHI

Msanii Redsan mwenye makao yake jijini Nairobi anadaiwa kumvamia na kumpiga mtayaishaji  wa mziki maarufu nchini Producer Sappy, baada ya malumbano kuhusu utayarishaji wa album ...
Skip to toolbar