ROSE MUHANDO AFIKIRIA KUHAMIA KENYA

0

Ni wazi kwamba hakuna kitu cha bure siku hizi duniani.

Msanii wa nyimbo za injili nchini Tz Rose Muhando amejipata katika njia panda baada ya pastor mmoja aliyemsadia kutusua kimziki kumgeuka na kumtaka kimapenzi.

Inadaiwa Rose Muhando kwa sasa anafikiria kuhaimia nchini Kenya ili kukwepa usumbufu wa mchungaji huyu..

Rose Muhando ambaye ni mama wa watoto watatu (Gift, Nicolas na Maximilian) anadai mchungaji amekua akimsumbua kwa kujilazimisha kimapenzi.

Rose Muhando amekiri kwamba aliwahi kwenda kwa mchungaji huyu nyakati za nyuma kutafuta msaada ambapo alimsaidia, lakini kwa sasa amemgeuka na kumtaka kimapenzi kama malipo ya kumsaidia.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar