ROMA: YALIYONIPATA 2018 YATABAKI KUWA FUNZO

0

Msanii wa muziki wa Hip Hop kutoka nchini Tanzania, Ibrahim Musa maarufu Roma amefichua kuwa mwaka 2018 amepitia mambo makubwa na magumu, lakini anamshukuru Mungu kwani yamebaki kama fundishokichwani mwake.

Roma ametaja kisa cha kutekwa nyara kama moja wapo ya mambo asiyoweza kusahau, na kufichua kuwa kwake tukio hilo limempa mafunzo ambayo akiingia nayo 2019 atakuwa imara tofauti na miaka mingine iliyopita.

Roma anasema amejipanga vyema kuhakikisha hakuna mtu anamfungia riziki, huku akiahidi mashabiki kwamba mwaka ujao utakuwa wa tofauti.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar