ROMA :KUNA MAKUNDI YA WASANII HAYAPEWI NAFASI KWENYE MEDIA

0

Rapper Roma mkatoliki kutoa nchni Tanzania anadai kuna baadhi ya wasanii wakongwe ambao hawapewi nafasi katika vyombo vya habari nchini humo.

Roma ametaja sababu hii kama chanzo cha baadhi ya wasanii wakongwe kuonekana wakati wao umepita katika tasnia licha ya kutoa kazi mara kwa mara.

Roma anawataka mashabiki kutotafsiri wakongwe kua wasanii wasio na nafasi katika mziki wa generation ya sasa.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

MSANII AAMUA KUTOA MAKALIO FEKI

Msanii mmoja wa kike nchini Marekani kwa jina Kimberly Michelle Pate maarufu kwa jina K.Michelle anataka kutoa makalio bandia aliyopandikizwa ka njia ya upasuaji. K.Michelle ...
Skip to toolbar