ROMA AMTETEA PROFESSOR JAY KUHUSU HILI.

0

Muziki wa Singeli unaonekana kuwaumizwa vichwa wasanii wengi wa Hip Hop hasa baada ya Professor Jay kuachia wimbo wake mpya kwa jina ‘Kazi Kazi’ aliomshirikisha msanii Sholo Mwamba anayeimba mziki wa Singeli.

Profesa Jay aidha ameibandika jina kazi yao mpya na kuamua kuuita style ya “Hip Hop Singeli” jambo amabalo lilizua minong’ono miongoni mwa wanaharakati wa mziki wa HipHop bongo.

download (49)

Hata hivyo, rapper Roma Mkatoliki amejitkeza na kumtetea Prof Jay kwa kuunga mkono hatua yake ya kubuni “Hip Hop Singeli”.

Roma amesema kuwa muziki wote umeshafanywa na inatakiwa wasanii waje na idea mpya ya kuwateka mashabiki, jambo ambalo anasema ndilo Prof Jay alilofanya kupitia collabo hiyo ya na kuzaliwa kwa “Hip Hop Singeli”.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

RICK ROSS ATIMIZA HILI MAISHANI

Rapa maarufu nchini Marekani, Rick Ross, amepanua familia yake baada ya kupata mtoto mwengine. Rick Ross sasa ni baba wa mtoto wa kiume aliyempa jina ...
Skip to toolbar