RICK ROSS NA DIAMOND MAMBO SHWARI

0

Uhusiano kati ya Rapper Rick Ross wa nchini Marekani na Diamond Platnumz wa Tanzania unaonekana kuwa imara, licha ya tetesi za awali kwamba wasanii hawa hawapatani tena.

Wiki chache zilizopita pita kulizuka tetesi mitandaoni kwamba mambo si shwari baina ya wawili hawa baada a Rick Ross kufuta picha zote za Diamond alizowahi ku’post akatika akaunti yake ya Instagram.

Rick Ross aliwahi ku’post picha kadhaa za Diamond na project zake punde tu baada ya kumzindua Diamond kama balozi wa kinywaji cha Belaire.

Hata hivyo sasa mabmbo yanaonekana kuwa shwari baina ya wawili hawa baada ya Rick Ross kuanza kumtag diamond katika picha nyingi zake anazo’post katik akaunti yake ya instagram.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

AUDIO || ROJO – USIONDOKE

<<DOWNLOAD/LISTEN NEW AUDIO HIT>> ARTIST : Rojo Mo>> SONG : Chenjanga>> Kujipakulia nyimbo mpya za wasanii wengine kutoka kanda ya pwani.Tembelea HULKSHARE: Teddy Mwanamgambo HEARTHIS: Teddy Mwanamgambo  JIUNGE ...
Skip to toolbar