RICK ROSS ATIMIZA HILI MAISHANI

0

Rapa maarufu nchini Marekani, Rick Ross, amepanua familia yake baada ya kupata mtoto mwengine.

Rick Ross sasa ni baba wa mtoto wa kiume aliyempa jina la Billion Leonard Roberts.

Kwa sasa Rick Ross amefikisha jumla ya watoto ambao amewapata kutokana na wanawake tofauti.

Ujio wa mtoto huyo umeungana na matayarisho ya rapa huyo anayetarajiwa kutoa albam yake mpya kwa jina Port Of Miami 2.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar