RICH MAVOKO ATAKA KUJIUA?

0

Msanii Rich Mavoko kutoka nchini Tanzania amezua hofu mitandaoni baada ya kutuma ujumbe unaoashiria anataka kujitoa uhai.

Kupitia akaunti yake ya instagram, Rich Mavoko ametuma ujumbe akidai ilikua siku yake ya mwisho duniani na kuacha wafuasi wake na maswali mengi.

Ujumbe wake umeibua uvumi kwamba kwa sasa anakumbana na hali ngumu ya kimaisha hususan kimziki toka aamue kujitoa record label ya wasafi inayomilikiwa na Diamond Platnumz.

Mavoko aliamua kujisimamia kimziki ambapo kufikia sasa ametoa kazi kadhaa ambazo zimshindwa kujipatia umaarufu kama kazi zengine za awali akiwa WCB.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar