REKODI MPYA YA DAVIDO!

0

Staa wa muziki kutoka Nigeria, Davido, ameingia katika vitabu vya historia, baada ya kuwa msanii mwengine kutoka bara la Afrika, kuujaza ukumbi maarufu wa matamasha ya muziki jijini London nchini Uingereza kwa jina The O2 Arena.

Davido, anaripotiwa kufanikiwa kuuza tiketi 20,000, ambazo ni sawia na idadi ya watu wanaoweza kuingia kwenye ukumbi huo.

Davido sasa anakuwa ni msanii wa pili kutoka Afrika kujaza ukumbihuo, hii ni baada ya Wizkid kufanya hivyo mwaka jana .

Mastaa wengine wa muziki wakubwa duniani ambao wamewahi kujaza uwanja huo ni  pamoja Ed Sheeran, Beyoncé, Rihanna, Kanye West, Drake, Elton John Prince, Alicia Keys, Adele, Celine Dion, Britney Spears miongoni mwa wasanii wengine.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

DIAMOND ANUNUA NYUMBA AFRIKA KUSINI.

Mwimbaji mahiri wa muziki wa bongo fleva, Diamond Platnumz amenunua nyumba nchiniAfrika Kusini. Akikiri ununuzi huo, Diamond Platnumz pia amefichua sababu kuu zilizopelekea uamuzi huu. ...
Skip to toolbar