REGGAE KUTUNZWA KAMA URITHI WA UTAMADUNI ULIMWENGUNI

0

Muziki wa Reggae umewekwa katika orodha ya kumbu kumbu yautamaduni ambao unastahili kutukuzwa kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa.

Shirika la umoja wa mataifa la sayansi, elimu na utamaduni UNESCO, linasema Reggae inawajenga wafuasi wake kimawazo, kijamii, kisiasa, na kiroho.

Muziki huo ambao chimbuko lake ni Jamaica ulianza miaka ya1960 kutokana na juhudi ya wasanii kama vile Toots na the Maytals, Peter Tosh na Bob Marley, umeongezwa katika orodha hiyokutokana “urithi wa utamaduni usioonekana”.

Mwaka jana Jamaica ilikuwa imetoa maombi ya kutaka muzikihuo kujumuishwa katika orodha ya ya UNESCOwakati alipokuwa na mkutano katika kisiwa cha Mauritius

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar