RECHO AKANA UTUMIZI WA DAWA ZA KULEVYA

0

Msanii wa kike katika muziki wa Bongo Fleva Recho amejitokeza kuzungumzia tetesi kwamba amekwama kimziki, baada ya kuanza utumizi wa dawa za kulevya.

Recho amekana tetesi kwamba ameingizwa katika tabia ya utumizi wa dawa za kulevya na msanii mwenza TID.

Recho ameeleza kuhamia Dubai amabako alikua anaisha na mumewe wa sasa, kulichangia ugumu wake wa kufanya mziki na aliamua kuto’ post taarifa zoozte zake katika akaunti zake za mitandao ya kijamii licha ya mashabiki kumuuliza mara kwa mara sababu hakujua la kusema.

Msanii huyu anasema tetesi hizi zilianza baada ya msanii TID ku’post picha wakiwa pamoja wakati wa tamasha mmoja mjini Dodoma na zimepelekea yeye kupoteza marafiki ambao wameamini ni mtuymizi wa dawa za kulevya.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar