RAYMOND AZAWADIWA GARI

0

Jana August 22 kumbe ilikuwa ni siku ya kuzaliwa ya msanii Raymond (Rayvanny) kutoka Wasafi Records.

Inaarifiwa jana usiku kulifanyika bonge la party kusheherekea siku hii ambapo uongozi wa WCB ulimzawadia msanii huyu gari.

rav4

 

Hivi hawa jamaa wa WCB wanaishije pale katika label yao?

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar