RAPPER WA KIKE “CHEMICAL” AZUNGUMZIA SWALA LA MAPENZI

0

Msanii wa kike wamziki wa Hip Hop nchini Tanzania Chemical, kwa mara ya kwanza amezungumzia maisha yake ya kimapenzi.

Rapper huyu ambaye amekua akionyesha muonekano wa hardcore katika mistari na hata video za nyimbo zake na kuibua tetesi za kuwa msagaji, amewashangaza wengi baada ya kudai pia anahitaji mwanamume wa kubembelezwa kama wasichana wengine.

Chemical anasema yeye kama msichana ana hisia za mapenzi na anajua kupenda, ila anahofia kuumizwa sababu amabayo humfanya kutoekeza nguvu nyingi kwenye masuala ya mapenzi.

Chemical amefunguka hayo baada ya tetesi kusambaa kamba kakosana na mpenzi wake.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

NI KWELI OTILE BROWN KAFUNGA NDOA KISIRI?

Gumzo linaendelea kutokota katika mitandao ya kijamii kuhusu picha zinazomuonyesha msanii kutoka kanda ya pwano Otile Brown akifunga ndoa. Picha hizo zinamuonyesha Otile Brown na ...
Skip to toolbar