RAPPER NELLY AFILISIKA.

0

Rapa Nelly aliyesifika miaka nyuma na mziki wake ulioteka vijana anaripotiwa kukaribia kufilisika.

Inadaiwa Rapper Nelly kwa sasa anadaiwa dola milioni 2 za kodi ya nyumba ambazo ni sawia na shilingi bilioni mbili hela za Kenya.

Kwa mujibu wa TMZ, Nelly asipolipa hivi karibuni mali yake itapigwa mnada ili pesa zitakazopatikana zitumike kulipa deni analoaiwa.

Nelly hajatoa album toka mwaka 2013 lakini amekuwa na kazi za vipindi vya tv kama BET  “Real Husbands of Hollywood” na show yake ya “Nellyville“.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar