RAPPER AVUJISHA PICHA ZAKE AKIWA TUPUTUPU.

0

Rapa kutoka Afrika Kusini Cassper Nyovest anajitayarisha kufanya show nyingine kubwa kama ya mwaka jana iliyovunja rekodi kwa kujaza ukumbi wa mmoja na watu 20,000.

Mwaka huu Cassper anataka kujaza watu 40,000 kwenye uwanja wa mpira wa Orlando Stadium kupitia show yake iliyobatizwa jina la  #FillUpOrlandoStadium.

Cassper ameanza mazoezi ya kupunguza mwili na kuwa fiti zaidi kwa show kubwa na ndefu kwenye maisha yake.

download-59

Hata hivyo katika harakati za kuipa promo show hii, Caspper amesambaza picha ya utupu ambayo kwa sasa imeteka vichwa vya habari nchini Afrika Kusini.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar