RAPPER ATANGAZA KUACHANA NA HIP HOP NGUMU

0

 

Mwanamuziki wa Bongo Fleva Country Boy sasa anafanya mziki muziki maalumu kwa ajili ya wanawake.

Country Boy amesema haya baada ya kupata mafanikio makubwa kupitia ngoma zake ‘Turn Up’ aliyomshirikisha Mwana Fa na ‘Mwaah’ aliyomshiirkisha Moni Centrozone.

Country Boy anasema kuwa ameamua kubadilisha style ya muziki wake na kuamua kuupa ladha ya anayoamini itawavutia zaidi wanawake.

Country Boy ameeleza kuwa sasa ataimba Bongo Fleva laini inyowavutia zaidi wanawake na kuwaachia marapa wengine kuimba Hip Hop ngumu.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

JE CANNIBAL AMERUDI KATIKA GAME?

Baada ya kimya cha mda mrefu, msanii mkongwe kanda ya pwani Cannibal anajipanga kutoa kazi mpya. Cannibal ambaye kuna wakati alitangaza kuaca mziki wa kidunia ...
Skip to toolbar