Rapa Darasa kutoka Tanzania amemtaja msanii huyu kama role model wake….Je ni nani huyo?

0

drs

“….Mwanzoni naanza ku rap wakasema No Way,

Nikijicheck kwenye kioo ni picha ya Prof. Jay…..”

Huo ni mstari ambao unapatikana kwenye wimbo wa “Weka Ngoma”  wa Darasa, moja kati ya nyimbo

za hamasa kutoka kwa msanii huyo ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wa “Kama Utanipenda”.

Darasa ameithibitisha kuwa hakuuandika mstari huo kimakosa baada ya kumtaja Msanii mkongwe wa

Hip Hop Tanzania Professor Jay kama mtu aliyempa hamasa ya kufanya muziki huo.

“katika wasanii ambao nilikuwa nasema nikiwa huyu siku moja itakuwa poa  ni Professor Jay,yeye ndiye

mtu niliyekuwa napenda ngoma zake,nilikuwa namsikiliza sana zamani na kuziandika nyimbo zake upya

kwenye madaftari na kuzi rap kama mimi ni yeye” alifunguka Darassa kwenye Mahojiano na Fahamu TV.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

MZEE MAJUTO ASEMA HIVI KUHUSU KUSTAAFU

Msanii wa filamu za kuchekesha nchini Tz King Majuto amekanusha taarifa ambazo zilizagaa katika mitandao ya kijamii kwamba amestaafu kuigiza. Akiongea jana, Mzee Majuto amedai ...
Skip to toolbar