RAPA AONYESHA SEHEMU NYETI ‘KIMAKOSA’ MTANDAONI

0

 

Rapa wa Afrika Kusini kwa jina Mthembeni Ndevu  aka Emtee amezua gumzo kali mitandaoni nchini Afrika Kusini baada ya kufichua sehemu zake nyeti kwa mashabiki mtandaoni kwa bahati mbaya.

Inaripotiwa kisa hiki kilitokea baada ya msanii Emtee wakati akijibu maswali ya mashabiki wake kupitia mtindo wa Instagram Live.

Akizungumzia kisa hicho Emtee ameeleza kuwa alijiskia kwenda haja ndogo wakati akiwa kati kati ya kujibu maswalii ya shabiki mmoja na alipofika msalani, alijisahau na kutumia mkono uliokua na simu inayopeperusha akijib maswali mojo kwa moja.

Kisa hichi kilizua mashindano katika mtandao wa twitter ambapo baadhi ya mashibiki walionekana wakipiga picha nyeti zao na kuzisambaza katika mitandao ya kijamii.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

AUDIO || ROJO – USIONDOKE

<<DOWNLOAD/LISTEN NEW AUDIO HIT>> ARTIST : Rojo Mo>> SONG : Chenjanga>> Kujipakulia nyimbo mpya za wasanii wengine kutoka kanda ya pwani.Tembelea HULKSHARE: Teddy Mwanamgambo HEARTHIS: Teddy Mwanamgambo  JIUNGE ...
Skip to toolbar