R.KELLY AZUSHIWA JIPYA. JAMANI!

0

Vituko vinaendelea kumuandama mkongwe wa RnB ulimwenguni R.Kelly baada ya mtu asiyejulikana, kupigia simu polisi akidai kuwa wanawake wanaoishi na R.Kelly walikua wanapanga kujitoa uhai kwa pamoja, katika nyumba ya R.Kelly.

Simu hiyo iliwalazimu polisi kufululiza hadi nyumba ya R.Kelly kufanya uchunguzi ambapo baadae ilibainika madai hayo ni yalikua ni ya uongo, baada ya polisi kukutana na R.Kelly na mawakili wake waliokua wakifanya kikao chao.

Inadaiwa simu hiyo ilipigwa 911 ambapo jamaa alidai mwanamke kwa jina Azriel Clary na wengine wanne wanaoishi ndani ya jumba la R.Kelly walikua wamepanga kujitoa uhai kwa pamoja ndani ya nyumba ya R.Kelly

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar