R KELLY AMWAGA MACHOZI KWENYE INTERVIEW.

0

Msanii mkongwe wa mziki wa RnB ulimwenguni R.Kelly amewashangaza wwengi baada ya kutokw ana machozi wakati akifanya mahojiano na kituo kimoja cha televisheni nchini Marekani.

R. Kelly ambaye anaandamwa na kashfa ya kuwadhulumu kimapenzi vijana chini ya umri wa miaka 18 miaka ya nyuma alipokua akivuma kimziki, ameshindwa kujizuia wakati akijitetea dhidi ya tuhuma hizi katika mahojiano hayo.

R.Kelly anakabiliwa na makosa 10 tofauti ya vitendo vya unyanyasaji wa kingono kwa wasichana wadogo.

Wiki iliyopita aliachiwa kwa dhamana baada ya kutokea mahakamani na kukanusha makosa yote.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

DIAMOND AZUNGUMZIA UHUSIANO NA BABAKE

Diamond Platnumz amekanusha madai yaliyozagaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba hamsaidii babake mzazi . Akizungumza baada ya kutoka mahakamani kuskiliza kesi ya malezi ya mtoto ...
Skip to toolbar