PROF JAY ASHAURI RIKA ZAKE KATIKA TASNIA.

0

Mkongwe kaika mziki wa Bongo Flava nchini Tanzania Joseph Haule a.k.a Profesa Jay anawataka mastaa wakongwe kuiga mfano wake na kufunga ndoa.

Profesa Jay ambaye karibuni alifunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi kwa jina Grace Mgonjo, anasema  ni wakati wa wakongwe wa mziki Bongo Flavaz kukabidhi mapenzi yao kwa mungu ili wapate baraka.

“Nawasihi wakongwe ambao hawajaoa nao waoe kwani pale wanapokabidhi mapenzi yao mbele za Mungu ndipo baraka zaidi na neema za Mungu zinaambatana nao katika maisha yao yote kwa sababu ndoa ni furaha na amani pia,” amesema Jay.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar