PRODUCER MANECKY (AM RECORDS) NAYE AFANYA HIVI.

0

Mtayarishaji wa muziki katika label ya AM Records, anayejulikana kwa jina maarufu Manecky amefunga ndoa.

Kulingana na taarifa nchini Tanzania, Manecky amefunga ndoa usiku wa kuamkia jana June 12 na mpenzi wake wa longtime aitwae Lilian.

Lilian na Manecky tayari wame zaa mtoto mmoja wa kiume

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar