PRODUCER MAN WALTER KUHUSU COLABO YA ALIKIBA NA DIAMOND

0

Producer maarufu nchini Tanzania Man Walter amekataa uwepo ya mipango yoyote ya colabo baina ya wasanii ali kiba na diamond.

Man Walter ambaye ndiye producer aliyetengeneza wimbo mpya wa Ali KibaMvumo Wa Radi” na nyengine nyingi, hata hivyo amekataa kuondoa uwezekano wa wasanii hawa kufanya kazi moja pamoja mbeleni.

Man Walter anasema iwapo management za wasanii wote wawili zitakubaliana kuna faida ya kibiashara basi ali kiba na diamond watafanya collabo na yupo tayari kuwashawishi wasanii husika.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

CHAMELEONE AMCHANA SHEEBAH

Msanii mkubwa nchini Uganda Chameleone amemchana  hadharani msanii wa kike nchini Uganda Sheebah Karungi aka Queen Sheebah akimtaka kujifunza kuvaa vyema. Chameleone amem’beza Sheebah kufuatia ...
Skip to toolbar