PREZZO AZIDI KUMLIPUA JAGUAR. KAFANYA HIVI ROUND HII!!

0

Msanii Jackson Makini aka  ‘Prezzo’ hivi karibuni amezidi kupalilia bifu kati yake na msanii mwenzake jijini Nairobi, Charles Njagua aka ‘Jaguar’ kwa kudai kuwa hamfahamu na wala hajawahi kumsikia.

prezzo-jaguar

Prezzo amenukuliwa akidai kuwa jina  Jaguar si geni kwake maana anajua ni aina ya gari au mnyama anayepatikana kwenye misitu mikubwa duniani.

“Huyo Jaguar simfahamu aisee na siku nikija kuambiwa ni msanii nitamshawishi abadilishe jina maana ni ajabu sana binadamu wa kawaida kujiita Jaguar bora hata angejiita Joto!,” amesema Prezzo.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

MORBIZ AWASHAURI WASANII WA PWANI

Producer mkongwe katika tasnia ya mziki wa kizazi kipya pwani Morbiz aka Sheriff kutoka Thunder Sound Records anawashauri wasanii pwani kuungana ki ukweli na kuacha ...
Skip to toolbar