PICHA ZA WAHU ZAZUA GUMZO MITANDAO. JE KULIKONI?

0

Msanii wa kike kutoka jijini NairobiWahu Kagwi’ amejipata akivuma katika mitandao ya jana baada ya  kusambaa kwa picha yake ya hivi punde zaidi.

Wahu ‘ jana alifikisha miaka 36 na alipost picha yake. Hata hivyo muonekano wake katika picha hiyo unaendelea kuzua gumzo kwani ana muonekano sawia na msichana wa miaka 26.

Wahu alifunga ndoa na Nameless akiwa na miaka 26 ikiwa ni miaka kumi iliyopita.

Lady Jaydee, Akothee, Avril na wasanii wengine kutoka Afrika Mashariki walimpa Shout outs Wahu kwenye birthday yake na wengi wakidai kuwa hana muonekano wa miaka 36

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar