PICHA YA ‘UUME’ WA 2 PAC YAUZWA MNADANI.GHARAMA YAKE NI HII!

0

Aliyekua demu wa marehemu Tupac wakati mmoja Faith Evans anauza picha ya uume wa marehmu Tupac katika mnada.

Faith Evans anauza picha hiyo iliyopigwa maika 27 iliyopita inauzwa kwa dola 7,500 za kimarekani ambazo ni sawa na shilingi 750,000 pesa za Kenya.

Faith Evans ambaye baadae alikuja kuolewa na hasimu wa Tupac, Notorius BiG; aliipiga picha hiyo mwaka wa 1990 kwenye House Party moja wakati wawili hao wakiwa wapenzi.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar