PETER WA P-SQUARE ATAFUTWA NA POLISI. SABABU NI HII

0

Msanii Peter Okoye ambaye anaunda kundi la P Square kutoka nchini Nigeria, anakabiliwa na tishio la kukamatwa na polisi wa Nigeria, kwa kile kinachodaiwa kama kuitukana serikali.

Peter wa P Square anadaiwa kuitusi serikali ya Nigeria kufuatia kauli ya waziri wake mmoja kwamba serikali ya Nigeria inafikiria kupiga marufuku wasanii kufanya video nje ya nchi ya Nigeria ili kulinda tasnia ya mziki katika taifa hilo.

Peter alikejeli kauli ya waziri huyu kwa kuuliza kwa nini baadhi ya wakuu serikalini wanatafta matibabu nje ya taifa la Nigeria badala ya kusalia nchini humo na kutumia hela zao katika hospitali za Nigeria.

Baadhi ya wakuu serikalini hawajafurahishwa na kauli ya Peter ambayo imeonekana kumlenga rais wa Nigeria Muhammadu Buhari ambaye kwa mdada sasa amesalia nchini Uingereza ambako anapata matibu .

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

RUBY AELEZA KINACHOMVUTIA KWA JUX

Msanii wa kike katika tasnia ya Bongo Flavaz nchini Tanzania, Ruby amefunguka kuhusu kitu kinachomvutia zaidi katika mtindo wa uimbaji wa msanii Jux. Ruby anasema ...
Skip to toolbar