PALLASO ACHOCHEA ZAIDI MGOGORO WA KISIASA NCHINI UGANDA

0

Mgogoro wa kisiasa unaotokota nchini Uganda kufuatia kukamatwa kwa mwanasiasa msanii Bobi Wine, umchochewa zaidi baaada ya msanii Pallaso kuachilia wimbo maalum unaoshinikiza kuachiliwa kwa Bobi Wine.

Wimbo huo wa dakika nne, unataka uongozi wa Uganda kumwachilia huru msanii Bobi Wine anayeshikiliwa katika mahakama za kijeshi mbali na kutaka suluhu ya matatizo mablia mbali ya kisiasa nchini Uganda.

Pallaso aliachiliwa wimbo huu kupitia mitandao ya kijamii ambapo umesambaa kwa uharaka na kuchukua nafasi ya kwanza katika nyimbo zinazopakuliwa kwa wingi mitandaoni nchini Uganda.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar