P LION AWASUTA MASHABIKI WA RADIO  PWANI

0

Produza mkubwa kanda ya pwani P Lion kutoka MK2 Records Jomvu, anasema baadhi ya mashabiki kanda ya pwani wanafaa kulaumiwa kwa kile alichokitaja lama kuchangia kutamba kwa mziki wa kigeni katika radio za kanda ya pwani.

P Lion anasema baadhi ya mashabiki husistiza kuomba kupigiwa nyimbo za kigeni katika vipindi vya radio za ukanda wapwani, licha ya uwepo wa nyimbo nyingi nzuri kutoka kwa wasanii wa ukanda wa pwani.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar