P LION ATAJA FAIDA MOJA YA WABANA PUA

0

Producer mkubwa kanda ya pwani P Lion kutoka MK2 Records anasema wasaniii wa mtindo wa kuimba wana urahisi wa kufikisha ujumbe kwa jamii kuliko wale wa mtindo wa kufoka.

P Lion ameelza kuwa mziki wa hiphop unaugumu flani katika kutimiza haja ya kupitisha ujumbe kwa uharaka katika jamii licha ya kuwa mziki ambao mara nyingi hua umebeba mafunzo.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

KHALLIGRAPH JONES NA CASHY WATENGANA

Rapa maarufu nchini mwenye makao yake jijini Nairobi Khalligraph Jones amethibitisha ametengana na mpenzi wake ambaye pia ni rapa wa kike kwa jina Cashy. Khalligraph ...
Skip to toolbar