OTILE BROWN AJIBU HATUA YA VERA SIDIKA

0

Baada ya Vera Sidika ku-post picha akimzawadi mpenzi wake mpya kwa jina Calisah gari aina ya Benz, mashabiki wengi walikimbilia page ya Otile Brown kuona jibu lake kwa hatua ya punde ya Vera Sidika.

Otile Brown hakuchelewesha wapenda ubuyu baada ya kujibu hatua ya Vera Sidika.

Otile Brown ame post picha akiwa amesimama kando ya gari lake jipya aina ya Benz na kuambatanisha na ujumbe unaoaminika kumlenga Vera Sidika.

Brown amemtaka Sidika kukoma kudandia kiki yake ya kununua Benz.

Otile na Vera walimwagana baada ya vera kusambaza jumbe za Otile akimuomba hela za kujaliza ili kununua gari aina ya Benz amablo lilikua linauzwa kwa bei rahisi lakini kwa haraka.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar