OTILE BROWN AFICHUA ASILI YAKE

0

 

Msanii Otile Brown anasema asili yake ni ukanda wa pwani na anafaa kuonekana kama msanii kutoka eneo hili.

Otile Brown anasema alizaliwa kibaoni eneo la mikindani kaunti ya Mombasa.

Otile Brown amelazimika kujitokeza kueleza asili yake halisi baada ya kupokea mtazamo kila mara kwamba anatokea jijini Nairobi.

Aidha Otile amefichua kwamba anapokua jijini Nairobi baadahi ya wasanii wenza humchukulia kama msanii kutoka taifa jirani la Tanzania.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

Skip to toolbar