OMMY DIMPOZ AFICHUA CHANZO CHA UGONJWA

0

Siku chache zilizopita taarifa zilisambaa kwamba msanii wa mziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania Omary Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz kazidiwa na uggonjwa hadi kalazwa wodi  ya wagonjwa mahututi (ICU)

Ommy Dimpoz amevunja ukimya kwa mara ya kwanza na kuzungumzia kuhusu hali yake kiafya.

Kwenye mahojiano akiwa afrika kusini, Ommy Dimpoz amefichua chanzo cha matatizo yake ya kiafya ni sumu .

Ommy Dimpoz ameeleza mwanzo madaktari walidhani ni saratani ya koo lakini baadae uchunguzi zaidi umeonyesha kuna uwezekano alikula sumu inayoathiri koo yake.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

AUDIO || BEKA THE BOY – TIME

<<DOWNLOAD/LISTEN NEW AUDIO HIT> ARTIST : Beka The Boy – Time: Kujipakulia nyimbo mpya za wasanii wengine kutoka kanda ya pwani.Tembelea HULKSHARE: Teddy Mwanamgambo HEARTHIS: Teddy Mwanamgambo ...
Skip to toolbar