OMARION APAGAWISHWA NA KISWAHILI

0

Msanii Omarion wa nchini Marekani amefichua kuvutiwa na lugha ya Kiswahili.

Kupitia akaunti yake ya instagram, Omarion ambaye alishirikishwa katika kazi mpya ya Diamond kwa jina “African Beauty”amesema kuwa anapanga kuitumia lugha hii katika kazi zake zinazokuja.

Omarion amekumbusha mashabiki kwamba hata Michael Jackson alitumia maneno ya lugha hii katika wimbo wake “Liberian Girl” uliovuma miaka ya nyuma.

Omarion amesema angependa kufuata nyayo za Michael Jackson katika utumizi wa lugha hii, ambaye amemtaja kama msanii mwenye ushawishi mkubwa katika safari yake ya kimziki.

Comments

comments

About author

Teddy Mwanamgambo

Teddy Mwanamgambo is an On Air Personality/Producer @ Radio Kaya (93.1FmMsa,94.9FmVoi,99.7FmMlnd) Coast Kenya.

No comments

VERA SIDIKA SASA NI MSANII

Mwanamiitndo maarufu nchini mwenye makao yake jijini Nairobi, Vera Sidika hatimaye amejitosa katika ulimwengu wa usanii wa mziki baada ya kuachilia wimbo wake wikendi . ...
Skip to toolbar